Matrix sio tu filamu, ni utangulizi wa ujumbe wa kisiri

Humi kuna madini.
Sasa wataalam si mngetueleza hyo spiritual awakening inafanyikaje na ssis tuipambanie
 
Hizi Translator za AI.

Ndio mnasema AI ni zaidi ya Human Brain🤣
 
Labda kama ni hizo IQ mnaita basi yangu ni zero point zero zero one maana sielewi chochote kuanzia uzi mpaka comments za wadau🤣🤣🤣
 
Anzisha Kampeni ya kuchoma Moto shule zote nchini Mana huku ndiko Rami za kupitisha agent mpya ndani yetu kingine kutupa simu na TV....Graduate ( Gradual indoctrinate )


Natamani Zama zile za mababu bila TV Wala Pc/:simu Mana nahisi tumetengwa na ukweli kwa Muda mrefu Sana.

Natamani kuona Miti inarudi kuwa dawa na Sio leo tmi unaonwa mti Kama boya tu.


Ukigeuza juu chini kwenye maandishi yatokeayo Picha ikiisha Kuna ujumbe mliwekewa.
Ulishawahi kuuona ?
 
Mimi kwa Utamanivyo weww Huwa natamani kwa Zaidi ya mara Nyingi maisha ya Zamani Sana vijana wa Sasa Hawawzi nielewa Ninacho maanisha Ila nayakumbuka yale maisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…