mpya9
Member
- Aug 29, 2016
- 31
- 18
Katika kupitia historia nikakutana na haya:
* watu wa Kagera walianza kufua vyuma takriban miaka 2000 nyuma,
na ufuaji wao vyuma pamoja na utengenezaji wa vyombo vya udongo upo tofauti na ule uliokuwa ulaya ama nchi zinazotajwa kuwa na maendeleo ya viwanda.
Kwa hivyo basi kama civilization iliyokuwa inaujuzi wa kufua vyuma takr. miaka 2000 nyuma ilipaswa kuwa mbali kimaendeleo kwa sababu ya kuwa na ujuzi wa kihunzi ambao haukutoka kwa mkoloni, wala nje ya bara la Afrika jamii hii ya watu imekumbwa na matukio tangu mda ambayo yamekuwa yakiiathiri kimaendeleo.
Nikarejea kwa msemo mmoja wa msanii maarufu "Mi ni mti wenye matunda...."-@diamondplatnumz
Msemo huu unakaukweli ndani yake "vizuri havikai" kwa maneno mengine.
Kuna mengi yakujifunza kwenye jamii zetu za kiafrika, tena mengi yenye kushangaza na kusisimua mwisho wa siku tutakaa na kukubali kuwa teknolojia nyingi chimbuko lake ni Afrika, matukio yaliyotukumba yameathiri namna tunavyoshabihiana, shirikiana na tunavyostawishana.
Angalia video hii hapa