Matukio haya mawili yalinifanya nisiwaamini waganga wa kienyeji

Matukio haya mawili yalinifanya nisiwaamini waganga wa kienyeji

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Likizo moja mwaka 2021 nilienda kula X mas ujombani,nikakuta mganga maarufu hapo kijijini amekwenda kituo cha polisi kuripoti juwa ameibiwa TV yake

2.Kuna familia moja naifahamu haba yao ni mganga ila cha ajabu juna wahuni wanachepuka na mke wa huyo mganga na juba jamaakampiga ujauzito binti wa mganga na kuijataa mimba,jamaa mpaka leo yupo anadunda
 
Uganga ni fani iliyovurugwa sana, ni kama uchungaji na unabii siku hizi. Kuna waganga wa aina 2; wale wa kweli na wale feki. Inaonekana huyo alikuwa yule wa kweli, na mganga wa kweli hafanyi chochote kibaya kwa mtu hata iweje na hawa ni wachache mno utazunguka mikoa kadhaa kumpata mmoja tu.
 
Likizo moja mwaka 2021 nilienda kula X mas ujombani,nikakuta mganga maarufu hapo kijijini amekwenda kituo cha polisi kuripoti juwa ameibiwa TV yake

2.Kuna familia moja naifahamu haba yao ni mganga ila cha ajabu juna wahuni wanachepuka na mke wa huyo mganga na juba jamaakampiga ujauzito binti wa mganga na kuijataa mimba,jamaa mpaka leo yupo anadunda
unavyofikiri waganga hawana shida?

kama jibu ni kweli hawanashida basi hayo uliyoandika yanaukweli na usiendelee kuwaamini ila kama jibu wanazo shida hayo uliyoyandika hayana maana.

Uelewa wako wa ukweli/uongo wa waganga itategemea na fikra zako juu ya kama waganga wanazo shida au la.
 
Kuna huyo mganga alikuja bush kufanya uganga akaweka kambi sehemu. Maisha ya bush mboga ni kuchuma shamba tu, kala majani siku ya kwanza, ya pili ya tatu. Ya nne kawaambia anahitaji nyama choma ya kufanyia dawa 🤣🤣. Kaletewa kaomba na ugali. Kazama ndani. Si unajua utoto tukaenda kupiga chabo anafanya dawa gani mwamba kakaa anakula 😂😂.Kesho yake kaomba mayai ya kuku watu wakasanuka mayai tena.
 
Naanza kuamin hakuna uchawi wala uganga hakuna mungu wala malaika ni ujanja tu na mahesabu makali ya baadh ya binadamu ili kujipatia pesa
 
Naanza kuamin hakuna uchawi wala uganga hakuna mungu wala malaika ni ujanja tu na mahesabu makali ya baadh ya binadamu ili kujipatia pesa mi juz nimeenda kwa mganga nikamwambia, mganga ligi limeanza fanya jambo niweke mkeka hapahapa nirushe kindege tugawane nusu kwa nusu mana steka yangu ina kama laki tano hapo mganga ukiotea hata mzunguko wa odd 50 tukila milion 30 yako 20 majibu yaliotoka kwa mganga akasema toa kwanza hela ya sadaka mizimu haiwez kufanya kaz bila pesa kidogo nikamjibu kumamamake zako nyoko kwahy hapa mi nazungumzia mademu c hela hyhy, ngoja jp nikamjalibu na mwamposa
 
Wahuni tu hawana lolote hat ukiwapiga hawakufanyi chochote
 
Mpangaji wangu akanihadaa.. Ananiambia twende nikakuonyeshe mganga huyo ni kiboko.. Anatatua kila tatizo..

Basi mimi huyo ndani ya basi na mpangaji wangu mpaka Kijiji cha Mnazi mkoani Tanga.. Kufika tu akatupokea jioni na akaniambia najua kilichokuleta kwangu ni dawa ya biashara.. Ila sitakuhudumia jioni hii.. Dawa ya biashara inatolewa asubuhi.. Basi nikalala.. Kulipokucha nikadamkia kwake.. Akaletwa jogoo..Acha jamaa anizungushie matunguli yake kichwani.. Akanochanja machale kuanzia utosini mpaka unyayoni.. Mgongoni na kifuani ndio ilikuwa balaa..Akanipaka na madawa yake yanawasha upupu unasubiri.. Alipomaliza akanipiga Laki Tano.. Akaniambia nenda ukawe Bilionea.. Nikaondoka nina imani kuwa mambo yapo sawa.. Niliporudi kwenye biashara zangu sikuuza hata shilingi moja.. Mpaka nikaanza kuona mtaji upo hatarini.. Nikampigia simu kumuuliza E bwana vipi mbona mambo yamekuwa mabaya zaidi.. Ananijibu kwako umewekewa nuksi mlangoni.. Huwezi kufanikiwa mpaka nije niitoe hiyo nuksi.. Nikamwambia kafie mbele huko.. Ushaniibia unataka uje uniibie tena.. Nikaachana naye na Mpangaji wangu aliyenipeleka huko nikamfukuza..

WAGANGA WA KIENYEJI NI WEZI TU..
 
Mwingine alikuwa anaogopeka kijiji kizima kwa uganga na uchawi.. Nikaja kupendwa na mke wake wa tatu.. Mzee nikapita naye.. Nikaweka na kambi kabisa.. Nashangaa naitwa serikali ya mtaa.. Mganga ameenda kunishitaki.. Nikamkana fiti mia kuwa hata mkewe simjui.. Na nikachana na mkewe..

Kama angekuwa mganga kweli alishindwa nini kuniroga..??
 
Back
Top Bottom