Elections 2010 Matukio ktk kampeni za Kikwete huko Manyoni

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
  • dokii kukatika mauno hadharani
  • mahudhurio hafifu na wewngi kuonekana walifuata burudani toka kwa marlaw,flora mbasha na hafsa kazinja
  • jk kutumia dakika kumi kwenye hotuba yake
  • jk kurudia kauli yake ya wanaopata ukimwi ni viherehere vyao
  • dokii kuondoka kwenye mkutano kwa kutumia pikipiki mara baada ya jk kuhutubia
  • waandishi wa habari kuvaa vijivazi vya press kikwete 2010
 


vipi picha ?
 
Hii nimeipenda kwa kweli.....Wanyaturu/Wanyiramba wako juu
 
Ndege mbaya huonekana tangia asubuhi huyu JK aibu hii sijui ataificha wapi. Ushauri wangu mimi aanze kuandaa hotuba itakayokumbukwa kwa muda mrefu ya kukubali kushindwa uchaguzi na kuwasihi wana-CCM wenzie waelewe hayo ndiyo matunda ya demokrasia. Unaposhindwa kazi wapigakura watakutimua kazi ili uende ukaanze kujipanga upya.........................
 
:smile-big:HAWOOOOOOOOOOOOO CHADEMA MMUMEFULIA KWA KOMOA WENZENU WALEEE WANAWACHIA VUMBI AMBALO HAMTA ONEKANA HADI MWAKA 2015 WEWE UNAYETUSHAWISHI TUMCHAGUE SLAA KWALIPI HATUWEZI KUWA NA MALAYA AU NDIO ZENU MUHALALISHE WAKE WA WENZENU KUWA WENU POLENI
 

Ungewauliza kwanza mafisadi wenu wana nyumba ndogo ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…