๐— ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ฆ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜‡๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ฆ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜‡๐—ผ

1_20250120_180857_0000.png

Kabla hatujafikia mwaka 2040 kuna miaka 15 ndani yake kutatokea matukio ya Aiabu kwenye Sayari yetu ambayo mengi ni ya kushangaza.

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโœ๏ธ.

๐Ÿ’จ 2025 โ˜„๏ธsolar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake ambapo inaitwa solar flare na kupelekea baadhi ya satellite kuharibika na dunia kukosa intaneti kwa muda wa siku kadhaa ulimwengu utakua Kimya.

2_20250120_180857_0001.png

๐Ÿ’จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa ambapo itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.

3_20250120_180857_0002.png

๐Ÿ’จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.

4_20250120_180857_0003.png

๐Ÿ’จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.

Sababu kubwa ni inayosababisha ni mvua ya kimondo inatarajiwa kurudi kwenye mfumo wa jua mwaka 2031.

5_20250120_180857_0004.png

Ni nini husababisha mvua ya kimondo ya Leonid?
Mvua husababishwa na vumbi na uchafu ulioachwa na comet 55P/Tempel-Tuttle.

๐Ÿ’จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.

images (79).jpeg

๐Ÿ’จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐Ÿช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.

6_20250120_180857_0005.png

Usisahau kutufuatilia kupitia page yetu ya Instagram kujifunza mengi zaidiโœ๏ธ

7_20250120_180857_0006.png
 
Shukrani kwa bandiko hili, wacha tusubiri tuone, sayansi ina mambo ya kustaajabisha sana
 
๐— ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ฆ๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜‡๐—ผ

View attachment 3207665

Kabla hatujafikia mwaka 2040 kuna miaka 15 ndani yake kutatokea matukio ya Aiabu kwenye Sayari yetu ambayo mengi ni ya kushangaza.

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโœ๏ธ.

๐Ÿ’จ 2025 โ˜„๏ธsolar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake ambapo inaitwa solar flare na kupelekea baadhi ya satellite kuharibika na dunia kukosa intaneti kwa muda wa siku kadhaa ulimwengu utakua Kimya.

View attachment 3207666

๐Ÿ’จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa ambapo itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.

View attachment 3207667

๐Ÿ’จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.

View attachment 3207668

๐Ÿ’จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.

Sababu kubwa ni inayosababisha ni mvua ya kimondo inatarajiwa kurudi kwenye mfumo wa jua mwaka 2031.

View attachment 3207669

Ni nini husababisha mvua ya kimondo ya Leonid?
Mvua husababishwa na vumbi na uchafu ulioachwa na comet 55P/Tempel-Tuttle.

๐Ÿ’จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.

View attachment 3207670

๐Ÿ’จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐Ÿช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.

View attachment 3207671

Usisahau kutufuatilia kupitia page yetu ya Instagram kujifunza mengi zaidiโœ๏ธ

View attachment 3207672
Napenda sana taarifa za namna hii, asante.
 
Back
Top Bottom