kungurumanga
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 175
- 44
naomba kufahamu matokeo ya zanzibar,tundu lissu,na halima mdee
Halima mdee out
Mtoto wa kiume kaza nani kasema mdee ameshindwa?
Nasikia maalim seif yupo katika kikao, ccm hawataki kutoka ikulu, usalama na viongozi wastaafu wanaongea na maalim kukubali mashart yao ili atangazwe. Hii ndio habari tulio pata kwa ujumbe wa simu
Hebu fikiria mwanamume tena wanasema msomi na baba yake ni mzae aliyekuwa akinadi uadilifu. Bila hata haya unaamua kwenda bungeni kwa kumuibia kura tena dada mdogo!lissu kashinda mdee bado hayajatangaWa
Usitegemee chochte ndugu, hao ccm hawakubali kushindwa kwa kura, Zanzibar kashinda seif kwa uhakika wao wanatangaza yao, kwa hio hata lowasa ashinde vipi hatangazwi hii ndo kawaida yao wenyewe kwa wenyewe wanaibia katka chaguzi zao washndwe kuiba kura za nchi nzima.
Kanda ya ziwa kuna wasukuma tu? Mabila mengine je? Na huko mikoa ya kusini je? Kiufupi ni kua MAGUFULI KAMALIZA KAZI....Acheni kuleta mipasuko isiyo kua na maana....
Hongera sana mkuu, kwa sisi wataalam wa saikolijia hii uliyotumia ni njia bora sana ya kujiandaa kupokea matokeo ya mwisho,... Nakuomba usiwe mchoyo embu waambukize na wenzio.