Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Pigeni kura kwa wingi kazi ya kumtangaza mshindi niachieni mimi!

ENL
 
Ingieni msituni!
 
Aisee ukienda nami nitafutie dili huko....nataka nihame Bariadi......

wee ndo wale mnastahili makwenzi kabisaa!!! kaa huko huko Tanganyika kwenu usinifate! mie naenda kwa Maalim.
 
Ndugu wanazuoni wenzangu pamoja na makandokando na rafu nyingi kuchezwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu ningependa nijue kila chama nimechukua viti vingapi vya ubunge.
 
ndugu wanazuoni wenzangu pamoja na makandokando na rafu nyingi kuchezwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu ningependa nijue kila chama nimechukua viti vingapi vya ubunge.

Cdm 35, ccm 188, cuf 24, nccr mageuzi 1, act wazalendo 1,
 
ndugu wanazuoni wenzangu pamoja na makandokando na rafu nyingi kuchezwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu ningependa nijue kila chama nimechukua viti vingapi vya ubunge.

Majimbo ya uchaguzi yako 264 yaliyopigiwa kura

CCM imepata viti 217

UKAWA viti 46

ACT wazalendo kiti 1
 
Majimbo ya uchaguzi yako 264 yaliyopigiwa kura

CCM imepata viti 217

UKAWA viti 46

ACT wazalendo kiti 1
Ni kweli mbona kuna majimbo kama sio 5 basi ni 6 hayapiga kura ya ubunge,na kwa hesabu yako 217+46+1= 264?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…