kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Ndio hapo ujiulizeAmeingiaje uwanjani?
au anaonekana kwa macho ya rohoni tu?Ndio hapo ujiulize
[emoji1][emoji1][emoji1]itakuwa ila ila tz aisee noma sasa getini kapitaje?au anaonekana kwa macho ya rohoni tu?
Nyie wanaume wa dar kwa hiyo huyo ndio fisi huyo?
kweli Dar ni noma, yaani mbwa wanaita fisi!Nyie wanaume wa dar kwa hiyo huyo ndio fisi huyo?
Hata kama ni paka amefikaje hapo kama sio ushirikina huoNyie wanaume wa dar kwa hiyo huyo ndio fisi huyo?
Kupitia bus la utopolo fc.Ameingiaje uwanjani?
Sawa kafikaje?Mbwa uyo sio fisi,muwe mnaangalia hata video za wanyama kama amuwezi kwenda mikumi au serengeti.
Unauliza kiumbe chenye miguu inayofanya kazi kimefikaje hapo?Hata kama ni paka amefikaje hapo kama sio ushirikina huo