Matukio wakifanyiwa Yanga huonekana kawaida lakini yakitokea kwa timu nyingine huonekana ni dhambi

Utopolo..wazee wa Kona goli. Ndo maana huwa hamuendi mbali kimataifa. Mbeleko za kijinga 🚮🚮🚮
 
Mmmmnh
Eti wanasimba hawakufurahi,Uto huwa mna nini lakini? Tangu lini Simba ikabebwa,na huko CAFCL ilikuwa inabebwa na nani? Kwa taarifa yako,Wana Simba hawajawahi “kutokufurahi” hata siku moja kwa mujibu wa comment yako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…