1. Kujifunga goli kulikopelekea mauti ya mchezaji wa Colombia
2. Kifo cha Kiungo mahiri sana wa Cameroon, Marc Vivian Foe
3. Kitendo cha Ronaldinho kumfunga Seaman goli la kubahatisha
4. Kuumiza vibaya kwa Companero kulikomfanya atandike daluga
5.....
kweli wewe ni mtumwa hapa tanzania kuna matukio makwa kuliko hayo..
Ronaldinho ni kama maji...
Usipoyaoga ukiwa hai basi utaogeshwa ukiwa mauti.
Ronaldinho ni jina juu ya majina.
1. Kujifunga goli kulikopelekea mauti ya mchezaji wa Colombia
2. Kifo cha Kiungo mahiri sana wa Cameroon, Marc Vivian Foe
3. Kitendo cha Ronaldinho kumfunga Seaman goli la kubahatisha
4. Kuumiza vibaya kwa Companero kulikomfanya atandike daluga
5.....
Kifo cha Peter Tino uwanja wa Taifa Dar.
We mwehu nini? Huyu jamaa hajafa yupo hai. Acha uchuro! &*^*&^$^%@@( zako kama huna uhakika na jambo linalohusu kifo usiandike!
Wewe nani kakwambia kuwa KAFA, Soma hapa : Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Peter Tino | Bongo5Kafufuka?
Wewe nani kakwambia kuwa KAFA, Soma hapa : Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Peter Tino | Bongo5