Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Mnyuke Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
4,472
Reaction score
6,391
Uzi huu ni maalumu katika kukuletea matukio ya moja kwa moja kutoka katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Mkapa

Hili ni sherehe maalum kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans kwa ajili ya utambulisho wa kikosi kipya cha Yanga na benchi zima la ufundi

Leo tegemea kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu na mashindano ya kimataifa yaani CAF champions league

Karibuni katika uzi huu maalum kabisa katika siku maalum ya wananchi

Wananchi......... Sisi tuna watu......
IMG-20210829-WA0005.jpg
IMG-20210829-WA0004.jpg
IMG_20210829_135512.jpg
IMG_20210829_135505.jpg


Katika utangulizi wa match za hapa uwanja wa Taifa kikosi cha vijana cha Yanga cha U-20 dhidi ya Cambiasso sports academy
FT.. Yanga U-20-1 vs Cambiasso 3

Huku kwa kikosi cha wanawake
Yanga princess 1 vs Ilala queens 1


Mdhamini wa klabu ya Yanga Gharibu Said Mohamed(GSM) tayari amewasili katika uwanja wa Mkapa pamoja na mwenyekiti wa Yanga Mshindo MsollaView attachment 1914741View attachment 1914742
20210829_171308.jpg

Hali ilivyo kwa Mkapa, kilele cha wiki ya Mwananchi yangasc.
 
Burudani kadhaa hapa zinaendelea uwanja wa Mkapa na wasanii mbalimbali wame perfome katika jukwaa la wananchi
Madee
Gnako
Dokii
Mzee wa Bwax
Shilole
 
Hapa anasubiriwa msanii maalumu na mwaliko kutoka nchini congo Apande jukwaani Papaa Koffie Olomide
 
Billnas aka Bill Nenga now yupo kwa jukwaa akitoa burudani kwa wananchi
 
Nandy The African princess ambaye ametoa single hit yake ambayo YA yanga bado anaendelea kusubiriwa jukwaani
 
Hawa wasanii wa mapanga shaa utunzi wao ulishafika kikomo? Haiwezekani miaka nenda rudi wanaimba hayohayo manyimbo yaliopitwa na wakatizo
 
Hawa wasanii wa mapanga shaa utunzi wao ulishafika kikomo? Haiwezekani miaka nenda rudi wanaimba hayohayo manyimbo yaliopitwa na wakatizo
Yaaah mkuu inabidi wakubali time imeenda na imewaacha tayar coz game ya Bongoflava imebadilika
 
Back
Top Bottom