Matukio ya uvunjifu wa amani yanaoendelea nchini, je ni kutimia kwa utabiri wa mwalimu nyerere?

Matukio ya uvunjifu wa amani yanaoendelea nchini, je ni kutimia kwa utabiri wa mwalimu nyerere?

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
497
Reaction score
236
[h=5]Wakuu tutafakari utabiri huu;

“Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika” – Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

“Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe” – Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)
[/h]
 
Back
Top Bottom