Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 May 10, 2025 #1 Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara" Your browser is not able to display this video.
Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara" Your browser is not able to display this video.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 10, 2025 #2 Kwahiyo?
pamoja Santa JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 1,296 Reaction score 1,748 May 10, 2025 #3 Enhee tunasubiri hoja yako sasa
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 May 10, 2025 #4 Samia ameunda kikundi cha wahuni wa kutoka nchini kwake cha kuua na kuteka watu wa bara.
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,561 Reaction score 3,122 May 10, 2025 #5 Kiranja mkuu Bara ni wa kukodi.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 May 10, 2025 #6 Hizo zote ni juhudi za serikali ya mama! Hapo vipi kunguni mkuu Lucas Mwashambwa .