Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Salaam!
Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali.
Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno ambao wanatumwa na hao watu wenye nia ovu dhidi ya watoto.
Shime ndugu zangu,shime vyombo vya habari, shime Watu maarufu jambo hili la kwetu kama Watanzania na wahanga wa kwanza.
Tupaze sauti na kushirikiana kukemea uovu huu kwa sauti moja.
Aidha tushiriane kuripoti viashiria vya ukatili huu.
Wazazi kila mmoja alinde watoto wake, kama wanakwenda shule kwa school bus wasiachwe getini ama barabarani kusubiri magari peke yao bali wasubiri wakiwa na mtu mzima.
Pia madereva wasishushe watoto vituoni bila kuwepo mtu wa kuwapokea.
Tulinde vizazi vyetu.
Pia soma
- DOKEZO - Matukio ya kutekwa kwa watoto maeneo ya Kigamboni na maeneo jirani