LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu 245,764). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Katavi ambalo lina watu 118,818.

Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu
katika Mkoa wa Katavi ni 1,152,958; wanaume 569,902 na wanawake 583,056.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA KATAVI


SOMA PIA:
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5), zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.

MAMLAKA ZA MIJI
Manispaa ya Mpanda

Kata: 15
Mitaa: 43
Vijiji: 14
Vitongoji: 79

MAMLAKA ZA WILAYA
Wilaya ya Tanganyika
Kata: 16
Vijiji: 55
Vitongoji: 321

Wilaya ya Nsimbo
Kata: 12
Vijiji: 54
Vitongoji: 261

Wilaya ya Mlele
Kata: 6
Vijiji: 18
Vitongoji: 85

Wilaya ya Mpimbwe
Kata: 9
Vijiji: 31
Vitongoji: 166


Pia, soma
 
Nani kubaragaza wengine, tutajua jioni
 
Poleni kwa kujisumbua kwenda kukaa foleni na kupigwa juaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…