Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi Machi 2012, Wilaya ya Wanging'ombe ilianzishwa rasmi.
Mkoa wa Njombe una majimbo sita (6) ya uchaguzi; Wanging'ombe, Njombe Mjini, Makambako, Ludewa, Makete na Lupembe, ambapo Jimbo la Wanging'ombe linaongoza kwa kuwa na watu wengi (191,506), likifuatiwa na Jimbo la Njombe Mjini (182,127). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Ludewa lenye watu 109,160.
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Njombe ni 889,946; wanaume wakiwa 420,533 na wanawake 469,413.
SOMA PIA:
Mkoa wa Njombe una Halmashauri sita (6), zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.
MAMLAKA ZA MIJI
Mji wa Makambako
Kata: 12
Mitaa: 54
Vijiji: 14
Vitongoji: 67
Mji wa Njombe
Kata: 13
Mitaa: 28
Vijiji: 44
Vitongoji: 224
Jumla ya Mamlaka za Miji: Kata 25, Mitaa 82, Vijiji 58, Vitongoji 291
MAMLAKA ZA WILAYA
Wilaya ya Ludewa
Kata: 26
Vijiji: 77
Vitongoji: 350
Wilaya ya Makete
Kata: 23
Vijiji: 93
Vitongoji: 442
Wilaya ya Njombe
Kata: 12
Vijiji: 45
Vitongoji: 227
Wilaya ya Wanging'ombe
Kata: 21
Vijiji: 108
Vitongoji: 523
Jumla ya Mamlaka za Wilaya: Kata 82, Vijiji 323, Vitongoji 1,542
Kwa ujumla, Mkoa wa Njombe una jumla ya Kata 107, Mitaa 82, Vijiji 381, na Vitongoji 1,833, hali inayoakisi uwiano mzuri wa maendeleo kwa wananchi wake.
Hali ya Kisiasa
Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa mikoa ambayo majimbo, Kata, Mitaa, Vijiji na Vitongoji vimemekuwa vikishikiliwa zaidi na Chama cha Mapinduzi ( CCM ) hata ukilinganisha katika uchaguzi wa mwaka 2015 katika majimbo sita yanilibebwa na wabunge wa CCM. Njombe Kaskazini: Ndugu Joram Hongoli (CCM)
Njombe Kusini: Edward Mwalongo (CCM), Makambako: Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga (CCM),Wanging'ombe: Nduguy Gerson Hosea Lwenge (CCM),Makete: Norman Adamson Sigalla (CCM)
Mbali na hapo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na hata ule uchaguzi mkuu 2020 kuliingia dosari ambapo dosari hizo zilipoteza matumaini kwa vyama vya upinzani katika mkoa huo kupata nafasi za uongozi ambapo tulishuhudia wagombea kutoka Chama tawala CCM walipita bila kupingwa kutoka na kuenguliwa kwa wagombea wa vyama vya upinzani kwa madai ya kukosa sifa za kugombea hivyo kupelekea baadhi ya vyama kujiondoa katika uchaguzi huo.
Hata hivyo pia uchaguzi mkuu 2020 mambo yalikuwa yaleyale wagombea wote walioshinda walikuwa wa CCM hali ambao pia uchaguzi huo ulitafsirika haukuwa wa uhuru na haki. Sasa tunalekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 vyama vya siasa vikiwemo vyama vya upinzani waeendelea kunadi sera zao kwenye majukwaa ya mikutano ya hadhara katika baadhi ya maeneo ili katika chaguzi hizi warejee katika viti vya uongozi kama ilivyokuwa hapo awali.
Pia, Soma:

- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Mchengerwa: Matokeo ya uchaguzi kutangazwa ndani ya saa 72

- Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
- TAMISEMI: Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2024 zitaanza tarehe 20 hadi 26, Novemba
- Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika
- Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji huko Makete ambaye ni mwanaume asema yeye ni mwanamke
- Mgombea wa CCM aliyedai Mwanamke kwenye Kampeni licha ya kuwa ni Mwanaume afafanua kauli yake
- Njombe: Wagombea wa ACT Wazalendo Wilaya Ya Ludewa na Wilaya ya Njombe waenguliwa wote
- Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa
- Dk. Pindi Chana: Amewaomba wananchi wa Makambako kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Njombe aeleza A-Z mkasa nzima ilivyotokea mpaka Freeman Mbowe kukamatwa na Polis
- Kada wa CCM Njombe: Kwenye suala la kushika dola CCM hatuna mzaha
- Njombe: Wananchi Wanging'ombe zoezi la Upigaji Kura halichukui muda mrefu
- Njombe: Wagombea wapongezwa kwa utulivu wakati wa uchaguzi
- Njombe: Rose Mayemba asema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni operesheni ya kuwashughulikia wapinzani