Matukio yaliyothibitisha kwamba kwa kiwango fulani Alikiba ana tabia ya kuringa

Huwezi jua labda anaringa kwa kuwa anakunya keki.
 
Nilikua shabiki wake mm lakini hana busara na sio mtu wa watu...atakomaa sana mpaka afikie level za juu.
Shida ni kuwa anajiona mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…