Matumain yaja baada ya wawili kupona Ebola.

Matumain yaja baada ya wawili kupona Ebola.

mickyQ

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
63
Reaction score
4
Madaktari wawili raia wa marekani waliokuwa wakitoa huduma katika nchi za africa magharibi na kuambukizwa ebola...sasa wapona baada ya kutumia dawa ya majaribio na kuua virusi vyote vya homa ya Ebola..
 
mpaka hiyo dawa ifike africa si leo wala kesho!ila dalili njema hizi!asantw kwa taarifa!
 
Back
Top Bottom