mickyQ Member Joined Oct 7, 2013 Posts 63 Reaction score 4 Aug 22, 2014 #1 Madaktari wawili raia wa marekani waliokuwa wakitoa huduma katika nchi za africa magharibi na kuambukizwa ebola...sasa wapona baada ya kutumia dawa ya majaribio na kuua virusi vyote vya homa ya Ebola..
Madaktari wawili raia wa marekani waliokuwa wakitoa huduma katika nchi za africa magharibi na kuambukizwa ebola...sasa wapona baada ya kutumia dawa ya majaribio na kuua virusi vyote vya homa ya Ebola..
andishile JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,429 Reaction score 521 Aug 22, 2014 #2 mpaka hiyo dawa ifike africa si leo wala kesho!ila dalili njema hizi!asantw kwa taarifa!