#COVID19 Matumaini: Dawa ya COVID-19 yadaiwa inakaribia kupatikana

Kumekucha
Uzuri wa hii hakuna mtu atakulazimisha wala kukushawishi yaani hii ikitoka ni wewe mwenyewe wakati upo kwenye oxygen ndg zako watauza hata ng'ombe hii dawa ipatikane. Mgonjwa apone /apate nafuu.
 
Hii ikija sidhan kama itapigiwa Debe tuipate, na sidhan kama tutagawiwa bure!
Itakua kama Ile ya Madagasca ya Mh Kabudi.
Walikunywa wenyewe Covidol kwa kujipendelea kumbe wamepiga famba😀😀😀
 
Angalia hapa

 
Daah, tunakukumbuka sana JPM. Sasa hivi Tozo inaenda kununua hizo takataka..
 
Hakunaga dawa inayotibu virusi tokea dunia iumbwe! Labda utaje ni virus ipi ilishawahi kupata dawa!

Virusi vyote huwa vinazuiwa kwa vaccine tu na siyo vinginevyo.

Kama kweli wamegundua dawa itakuwa ya aina yake!!
 
Hizi bila shaka zitakuwa kama mbaazi, unakunywa kama msosi, daily...

Maana kazi inayofanya ni kuzuia process ya gene ya kirusi kujiunganisha na gene ya mwanadamu ili kujizalisha zaidi...
 
Ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…