Kwanini mkuu?Aston Villa kuchomoa kwa wwstham sio kazi nyepesi
😁😁😁😁😁
Westham wako on fire muda huu , Striker wao Antonio anatupia Kama Hana akili nzuri , sio game nyepesi kwa Aston Villa hata kidogo.Kwanini mkuu?
Lolote linawezekana,ngoja tusubiri tuoneArsenal atachomoa betri, atafungwa na watford na Villa kumfunga West ham ni kazi nzito
Lolote laweza kutokea,ngoja tusubiri dakika 90.Westham wako on fire muda huu , Striker wao Antonio anatupia Kama Hana akili nzuri , sio game nyepesi kwa Aston Villa hata kidogo.
Wewe ni bashite ama🤪🤦😅🏃Mnamuongelea Samata sio?
Niacheni kwanza Nina hangover ya kigamboni.
Sherehe za kumfuta bashite 😂Wewe ni bashite ama🤪🤦😅🏃
Game ilishaisha hiyo.Arsenal ndiyo walioshikilia moyo wa Aston villa kwa sasa.Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21 pts
Sasa mechi za kufunga msimu ni:-
Arsenal vs Watford
Westham vs Aston Villa
Je, Watford atamfunga Asernal ili afikishe point 37 asalie ligi kuu na huku akimuombea Aston Villa Afungwe au atoe draw?
Ikitokea Watford akafungwa na Asernal na Aston Villa akapata hata draw tu bus hapo inakuwa chereko,vifijo na nderemo kwa Aston Villa kusalia EPL kwa msimu mwingine Tena.
Tusubiri na tuone maajabu ya mpira.
Mpira ni dkk 90...Aston Villa kuchomoa kwa wwstham sio kazi nyepesi
Man u akishinda game na westham anaingia top 4 anamshusha Leicester city na man hakosei hapo siioni sare ya man na westham.Kama Westham aki draw au akampiga man u ..itakuwa nafasi nzuri kwake maana gemu ya mwisho wagonga nyundo watacheza kwa kurilax ila AstonVilla bado ana kazi ya kufanya maana Watford hatoelewa...
Westham wako moto sana ..man u leo anakaziMan u akishinda game na westham anaingia top 4 anamshusha Leicester city na man hakosei hapo siioni sare ya man na westham.
Sent using Jamii Forums mobile app