Matumaini ya Aston Villa kusalia EPL yafufuka.

Kila nikifiria Mwamba mtupia magoli Samatta kucheza Championship roho hainipi kabisa.

Pambana Samagoal timu ibaki EPL
 
Maajabu yanaweza tokea, sema samara tayari kuna kilabu kimoja kule Uturuki kinataka kumewekwa dau kijana, mimi na shauri asiondoke ligi ya Uingereza soka lipo pale
 
Ponapona ya aston villa ni leo hii West ham wamkomalie Man U ili wasalie Ligi kuu, wakshindwa leo karata nyingine ni Arsenal sasa kumshinda Watford, vinginevyo Aston villa hataweza mshinda Westham
 
Villa anabaki EPL, whatever it takes Watford safari ya kurudi kwao imewadia.
 
Aston Villa kuchomoa kwa wwstham sio kazi nyepesi
Na matatizo ya Arsenal siku zote tunayajua.
Hachomoi kwa Watford.
Liverpool wanaijua Wartford vizuri sana kwenye mechi kama hizi.
Westham siyo wepesi kihivyo.
 
Arsenal wanachukua 3 points na Aston Villa wanachukua 3 points hivyo kubaki kwenye EPL.

Arsenal atachomoa betri, atafungwa na watford na Villa kumfunga West ham ni kazi nzito
 
Arsenal wanachukua 3 points na Aston Villa wanachukua 3 points hivyo kubaki kwenye EPL.
Kubaki kwa Villa asilimia kubwa kupo mikononi mwa arsenal na everton. Arsenal akimfunga watford ushindi wowote na villa akifungwa 1-0 halafu kule buonermouth akifungwa au draw na everton villa anabaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…