Matumbo

Fahari omarsaid

Senior Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
101
Reaction score
13
Hivi ni kwa sababu gani wanawake wengi wanakuwa na matumbo makubwa(vitambi)?takribani 70% ya wanawake wapo hivyo.
 
tafuta húmu jamvini utaiona, hiyo mada imeshawahi zungumzwa mara nyingi sana na kutolewa majibu ya kitaalamu kabisa
 
fashoni wenzio ukiona ivo hela ya mnyama haipigi chenga
 
Dah!! Aisee kweli nimeona wengi sana, wengi hadi wana ndevu goshhhh!!!!
 
ndio wapo wengi ila hiyo ya takribani 70% mm sijui maake sijafanya utafiti......
 
Hivi ni kwa sababu gani wanawake wengi wanakuwa na matumbo makubwa(vitambi)?takribani 70% ya wanawake wapo hivyo.
Fahari umetumwa au umeagizwa ? wengine ndio ugonjwa wetu mwanamke shurti awe mnene na tumbo kubwa,si ndio ana afya na kula vizuri.
 
ngano na mafuta excess,,, wengine kutofanya juhudi zozote za kulirudisha tumbo baada ya uzazi au kufanyiwa operation,,,,
 
kijana ntafute nkuonyeshe kazi ya hivo vitambi,inaonekana hujui kazi yake........:spider:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…