HABAR ZA UMU. naomba kuuliza mm ni muathirika wa tumbo kujaa ges sana ambapo nlienda pima nkaambiwa nna vidonda vya tumbo sasa tumbo likijaa huwa natumia dawa ya ALUGEL ambapo hupata nafuu kwa mda sasa kuna rafki yangu ambaye ni CLINICAL OFFICER aliniambia eti matumiz ya hzi dawa badae ntapata tatzo la constipation (kukosa choo) naomba mnisaidie hii ni kwel au? mana nmeogopa sana.