Matumiz ya gari kibiashara hapa Dar

chimera

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
31
Reaction score
37
Nawasalimu wote wana jf

Nina gari (hiace) ambayo nataka kuitumia kibiashara hapa jikon Dar

Naomba ushauri je?!! Naweza kuitumia katika biashara gan jijijin yenye faida atleast kusukuma haya maisha??

NB: Gari hili mali binafsi yani sipeleki hesabu kwa boss


Kila ushauri ntapokea na kuufanyia kazi
 
Reactions: JMF
School bus
Toa viti iwe inabeba vyakula kwenye sherehe
Kubeba wafanyakazi hotelini,kwenye radio
Funga speaker kwa kudesign iwe inafanya PA
Itumie kama daladala

Ni automatic/manual ?
 
School bus
Toa viti iwe inabeba vyakula kwenye sherehe
Kubeba wafanyakazi hotelini,kwenye radio
Funga speaker kwa kudesign iwe inafanya PA
Itumie kama daladala

Ni automatic/manual ?
Asante Kwa ushaur ni manual
 
Hivi zile Hiace Wagon (siyo super roof) zinaruhusiwa kufanya daladala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…