Matumizi Bora ya Friji

Mi nyanya nazikwangua/ kublend nazichemsha zinaiva...naweka kwenye container ya plastic nafreez, zinakua kama nyanya ya kopo,ukiweka kidogo tu imekolea sana nnakaa hata miezi 6 bila kununua nyanya
Hii na Mimi niliwahi kuifanya ,zilikaa Sana,mpaka nikazichoka
 
Je friji inapaswa iwe imewashwa wakati wote?
 
Uzi mzuri sana huu pia wachangiaji wapo vizuri tunapata madini mengi zaidi Shukran wote.
 
Ndio, labda kuizima mara moja kwa mwezi kwaajili ya kuisafisha
Kuna shida gani kuizima?

Ukiachana na labda umeme uwe wa manati hivo ubaridi utaisha haraka vitu viharibike?
Mi huwa sizimi sijui kwanini
 
Wakati nanunua waliniambia pale unapoiwasha friji inakula umeme mwingi hivyo kitendo cha washa zima washa zima nacho kinakula umeme. Pia hata ukisafiri usiizime
Okay ahsante...
 
Wakati nanunua waliniambia pale unapoiwasha friji inakula umeme mwingi hivyo kitendo cha washa zima washa zima nacho kinakula umeme. Pia hata ukisafiri usiizime
Uwe makini ukiwa safarini
Usiombe circuit breaker ikakata umeme(sio luku kuisha)
Hio friji ukija utafurahi mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…