Wakuu, kwa anayefahamu.
Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au Sheria/Kanuni yoyote nyingine ambayo imezungumzia.
Natanguliza Shukrani.