Matumizi mabaya ya jina letu adhimu kilimanjaro

Matumizi mabaya ya jina letu adhimu kilimanjaro

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Kuna kampuni moja imesajiliwa visiwa vya Belize inajulikana kama Kilimanjaro Capital Limited. Ukiiangalia kwa haraka haraka waweza fikiri ni kampuni ya wazawa ya Kitanzania wenye malengo ya kuleta mitaji nchini. Kumbe sivyo, imeanzisha kwa minajili ya kusaidia vikundi vya waasi katika maeneo yenye utajiri mwingi wa mafuta ya Pwani ya Kusini Magharibi ya Afrika, kama vile Cabinda, Bakassi na Biafra. Na inasemekana wameingia mikataba na vikundi vya waasi ambao wako mbali na maeneo hayo..... na ambao wanajipanga kuja kutawala maeneo hayo........

Wadau ni SAHIHI KWELI KUTUMIA JINA LA KIVUTIO CHETU NA WATU AMBAO HAWANA NIA NJEMA NA BARA LETU L AFRIKA?

JE HIYO HAITA ATHIRI MTAZAMO WA WATU AMBAO WANAPENDA KUJA KUITEMBELEA NCHI YETU KAMA WATALII.... HUSUSAN WALE WAUNGWANA AMBAO HAWAPENDI VITA?

KWA MAELEZO ZAIDI SOMA.....

Africa Confidential | The world's leading fortnightly bulletin on A

Kilimanjaro Capital Limited - The international equity fund that invests in Africa
 
Back
Top Bottom