Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19

Bunge likiwapokea na kuwatambua kama wabunge halali huu utakuwa ni uendelevu uleule wa matumizi mabaya ya kodi za wananchi na upuuzi wa kijinga kabisa...