Elections 2010 Matumizi makubwa ya SiSiEmu ni kwa Ajili ya Kumuendeleza Mtanzania na Tanzania

Elections 2010 Matumizi makubwa ya SiSiEmu ni kwa Ajili ya Kumuendeleza Mtanzania na Tanzania

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
kumekuwepo na matumizi makubwa ambayo hayajawahi kutokea yakiendeshwa na chama kilicho madarakani, sasa mimi na wewe tukiwa watanzania wenye nia ya kuona nchi yetu inapiga hatua ya kimaendeleo yawe ya kitaifa na kibinafsi, tuna bidi tujiulize kulikoni huyu anaye taka kutusaidia kuondokana na limbwi la matatizo iwe elimu, afya, barabara, na ya uchumi mifukoni mwetu, kwanini atumie hela nyingi saaana kutuvutia kwenye kampeni zake, na ili tumpigie?
na hizo hela anazotumia kutuelimisha/kutushawishi atazirudisha vipi? na aliye mpatia hizo hela amempatia kwa masharti gani? na wanaweza kutupatia list ya wachangiaji wao? au ni siri?
 
Back
Top Bottom