Rafiki,
Ishu sio kujua where the catch is,it's what you do with the information.
Now,you have a plan in mind?
SUKI..
Una habari kwamba ukishajua TATIZO umeshasolve 50% ya tatizo?
Kwa mtu kama mimi, what i will do with the information, NI KUTOCHANGIA UPUUZI HUO!
Itasaidia kidogo kuwayumbisha na mpango wao!...najua ni wengi wataofanya kama mimi!
Mkuu, nakubaliana na ww, tatizo wachangiaji ni hao hao. wamejifanya kuweka mkakati wazi, lakini kimsingi wameshazikusanya kutoka mifukoni mwao wenyewe.
Yes Mkuu Suki,Right on the money!
Hii changiachangia ni kuondoa lawama.
Working amount is already in place.Hiyo ya kwako PakaJimmy ingekuwa cushion tu.
Swali kwa wapinzani: Iwapo wenzenu tayari wamekusanya vyao mapema hii,nyie mna mkakati gani katika kufinance kampeni zenu?Je?Mnasubiri ruzuku kutoka serikalini kama ilivyo ada?
Ha ha ha..nilikuwa na mawazo kama yako.
Nadhani suala hili lipo wazi, and guess what, pesa zitachotwa mahali, halafu watapewa Voda ya King Maker au any other collaborator halafu mtaambiwa zimechangwa na waTz kupitia sms..lol
..Mazingaombwe njoo utamu kolea! LMFAO
Waheshimiwa, jana CCM ilizindua kampeni ya uchangiaji kwa wanaachama na wakereketwa kama wanavyojiita niliangalia lakini kuna kitu hapa tuchangieni:
Mwenyekiti wa taifa CCM kwa kusisitiza uchangiaji alisema
Jamani tuichangieni CCM, tukukumbuke chama hiki kilivyoifanyia nchi hii. Je? Wanajamvi bila CCM nchi hii haingekua hapa? Au ingekua mbali zaidi? Na je ni CCM imeifanyia Nchi mambo mazuri au Inchi ndio imeifanyia CCM kua hapo?
Karibuni.
tukaribie wapi??......... si uanzishe thread yako?......... unavuruga uelekeo wa michango na humtendei haki mleta thread!............ sorry kwa makwazo..........
Una akili sana PJ,Sijui kwa nini watu kama nyie msigombee huo urais.Au unasubiri Hukumu ya Mgombea binafsi itolewe?Jana usiku CCM wamezindua kampeni ya kuchangia kampeni kwa kutumia simu za mkononi!
Makadirio ni kwamba watakusanya taslimu 40,000,000,000/=(bilioni 40)!
Mimi nilipotazama jinsi washiriki wale walivyochangamka kutoa kwa kutuma ujumbe, nilihamasika kwamba iwapo ungeanzishwa uchangiaji wa namna hiyo kwaajili ya madawati ya shule zote nchini, hakuna mtoto ambae angekaa kwenye vumbi!
Kama jana, ziliweza kupatikana milioni 20 ndani ya dakika 5 tu za uchangiaji, je kwa miaka 5 ya uongozi wa JK, wananchi wangechanga kiasi gani, na tungekuwa wapi?
Kwanini wabongo tunapenda kufanya fund-raising za 'Disposable cash, kama hizi kampeni, tisheti na harusi, unlike kuwekeza kwenye investment za kudumu kama elimu, afya na miundombinu?
Ningekuwa mimi ndo JK, ningesubiri hela yote hiyo ichangwe, kisha natangaza ghafla kwamba hakutakuwa na kampeni, hela zote zinatumika kupeleka maji, au kujenga dispensari vijijini!
NINA HAKIKA 100% KWAMBA CHAMA CHANGU KINGECHAGULIWA BILA KUPINGWA NA RAIA YEYOTE...Unaonaje?
Naongojea SISIJEI ipate usajili wa kudumu!..Embu basi jisajilini Charity, tumewarahisishieni usajili sasa hivi, unaingia HAPA kiulaiini, ushakuwa memba, na umetuwezesha!Una akili sana PJ,Sijui kwa nini watu kama nyie msigombee huo urais. Au unasubiri Hukumu ya Mgombea binafsi itolewe?