jastin omujuni john
New Member
- Aug 14, 2015
- 2
- 0
Habari wanajamvi!!
Mimi ni mfugaji niliyekuwa nikifuga kuku kwa kununua vifaranga.... Baada ya muda mrefu nimeamua kujipanua kwa kununua incubator ndogo ya mayai 120....
Utotoleshaji wangu wa kwanza, niliweka mayai 120 ila nilipata vifaranga 62, mayai 14 yalionekana hayakurutubishwa, mayai mengine yalionesha giza upande mmoja na mayai yaliyobaki yaliyapasua na kukuta vifaranga vilivyokufa (havikutotolewa mpaka siku ya 22).
Je nilikosea wapi katika kuicontrol mashine yangu mpaka hali hii kutokea...?