Matumizi sahihi ya mashine za benki za kuhesabu noti

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
205
Leo nilipoenda benki moja niliona yule teller alivyokua ananinihesabia pesa mashine aliiweka ikawa inamwelekea yeye kiasi kua nilikua sioni ilivyokua inahesabu. Ili mimi nijiridhishe kuwa pesa nilizopewa ziko sawa ilibidi nirudie kuzihesabu noti zote jambo ambalo sikufikiri lilikua la lazima. Hii ilinipelekea kujiuliza swali hili - "Hivi ipi njia sahihi ya kutumia mashine za kuhesabia noti na je, kwa sasa zinatumikaje na baadhi ya mateller wa benki?"
 
Ulitakiwa umwelekeze tu kuwa unaomba aigeuzie upande ambao na wewe utaona ili kukupunguzia kazi ya kuhesabu mara mbili! Btw, unashauriwa kuhesabu pesa zako kabla haujaondoka dirishani!..Labda kama ni nyingi mno, lakini kama ni nyingi sana unachukulia bulk cash room, na huko kama haujapewa bundle zilizoko sealed basiutaona vizuri wanavyohesabu na kujiridhisha!
 
Back
Top Bottom