Matumizi Smartphones Vyuoni

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Wakati zikitangazwa nchi zenye matumizi ya smartphone Afrika na TANZANIA kushika nafasi
ya pili nyuma ya Nigeria, Pia imetolewa chati inayoonesha matumizi ya simu za kisasa (smart phones) katika vyuo vya elimu ya juu nchini, huku Chuo cha UDSM kikitajwa kuwa na matumizi makubwa ya smartphone ambapo wanafunzi wake wenye smart phone ni 89.7%

ORODHA KAMILI HII HAPA:
1.UDSM
2.IFM
3.SAUT-Mwanza
4.CBE
5.IMTU
6.UDOM
7.MUHIMBILI
8.TUMAINI-Iringa
9.SUA
10.ARDHI
11.MIPANGO-Dodoma
12.DIT
13.BUGANDO
14.KAMPALA
15.ST.JOHN-Dodoma
16.RUCO
17.KCMC
18.JORDAN UNIVERSITY
19.MUCCOBS-Moshi
20.MAKUMIRA BIBLE SCHOOL.

NB: Je chuo chako ni cha ngapi?? Kama hakipo kwenye list ujue hadi mkuu wenu wa chuo ana Nokia tochi.
 
haha hawa jamaa wa OUT vip mkuu pia na wale wahindi wa IMTU,alafu STJOSEPH wanajiita wanateknologia
 
Mbona Matumizi ya Simu za Tochi hawakutangaza
 
kuna xtori nyngn znafanana na hadith z xungura na fisi,umaarufu hauji hvyo mkuu kwanza hat cjakuangalia we nani!aghrrrrrrrrrrrr!
 
kuna xtori nyngn znafanana na hadith z xungura na fisi,umaarufu hauji hvyo mkuu kwanza hat cjakuangalia we nani!aghrrrrrrrrrrrr!

Mkuu mbona hapo kwenye fisi umekosea? nakusahihisha tu, ulitakiwa kuandika fixi na sio fisi. Pia hata username yako ilitakiwa kuwa xwahaba xultan na sio swahaba sultan.
Ni hayo tu msomi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…