Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nipo kwenye hii Field. Uliyosema yana ukweli kabisa.
Nashauri tu kwamba wewe unaetumia A/C hakikisha mfumo wake uwe katika hali nzuri..
Kumbuka A/C system inaongeza Mzigo kwenye injini. Unaweza kusikia hata muungurumo wa gari unabadilika pindi Compressor ya A/C inapoengage. Unapoongeza mzigo kwenye injini pia itahitaji nguvu zaidi na tunajua nguvu ya injini inaongezwa kwa kuingezea mafuta na hewa zaidi.Embu toa technical approach ambayo hiyo A/C inatumia mafuta zaidi ikiwa on au off? Tujue kama ina click
Natumai wote tu wazima. Naomba kueleweshwa katika hili, hivi AC katika gari inakula mafuta sana? Au ni wastani tu?
Mkuu kwa kifupi jibu halipo straight foward. AC ya gari unatumia nguvu kutoka kwenye engine,no maana hata unapowasha AC muungurumo huwa unabadilika. Kwa hiyo unatumia mafuta zaidi,hiyo ni sehemu ya kwanza...
Nipo kwenye hii Field. Uliyosema yana ukweli kabisa.
Nashauri tu kwamba wewe unaetumia A/C hakikisha mfumo wake uwe katika hali nzuri...
i saw it yesterday... AC inapunguza fuel economy for sure.Hii myth mythbusters waliwahi kuitest zamani among many. It is fuel efficient kuendesha with your windows down and A/C off.
You a fan of that show?i saw it yesterday... AC inapunguza fuel economy for sure.
You a fan of that show?
yes i love to watch scientific experiments and observe proved facts.You a fan of that show?
Errr...OkayNo sir. I love you
Na hii mifoleni ya Daslam hadi nakumbuka Moshi aisee 🤣🤣🤣!!!
Litre 1 ya mafuta huishia kwenye foleni tu toka utokako mpaka foleni zitapoishia.
Mafuta ya kidebe ndio hayafai kabisa ni aheri utembelee Fatuma! Huruma kwa wazee wa Juu ya E pale
eeh baba 🤣🤣Sijakuelewa uliposema "Fatuma".
Unamaanisha full tank?