Matumizi ya Affidavit au Deed Poll katika kuomba Ajira Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu wa kufanikiwa?

Matumizi ya Affidavit au Deed Poll katika kuomba Ajira Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu wa kufanikiwa?

EDDOX

Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
9
Reaction score
2
Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina.

Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa kufanikiwa?
 
Back
Top Bottom