Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Asali na Ndimu sio sumu wala Asali na Tango sio sumu vyote hivyo ni vyakula tu alivyoumba Mwenyeezi Mungu. Viko vyakula ukivichanganya vinaleta Madhara kwa binadamu lakini sivyo hivyo nilivyo vitaja mkuu achana na hao wazushi wa mambo kuuliza hawaulizi eti wao wakisikia kwa Wazee wao wa kizamani wanaamini bila ya kufanya utafiti.Je tango na asali je?? nilisikia pia ni sumu mbya....Mzizi Mkavu tujuze kaka....:juggle:
Duuh,jamani duniani kuna mambo,maana aliyeniambia kuwa ukichanganya hivyo vi2 vi2 inakuwa sumu,kwa kweli alisema kwa comfidence ya ajabu na msisitizo sana hata nikaogopa sana,anyway i'll try to mix an see
ndugu wana jf nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa mdogo kwamba ukila asali halafu muda mfu ukaamua kula limao ni lazima utakufa! naombeni maelezo ya kweli kuhusu hili jambo kwani nimeona hata baadhi ya watu wazima kabisa wakiamini hivyo! thanks!
ndugu wana jf nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa mdogo kwamba ukila asali halafu muda mfu ukaamua kula limao ni lazima utakufa! naombeni maelezo ya kweli kuhusu hili jambo kwani nimeona hata baadhi ya watu wazima kabisa wakiamini hivyo! thanks!
Tumsubirie Mzizi mkavu ndiyo mtaalamu wa haya mambo
Ninachofahamuu mm nikuwa limao na asali unaweza kukohoa sana na watu wengi niliwahi kuwasikia kuwa utakohoa then una die
lkn sidhani kama kuna ukweli wowote juu ya hili!
Ila ninachojua kuwa ukinywa asali nyingi kama 1 teacup afu ukala tango hapo ndo unaweza ukafa kifo laiiniii! Otherwise unaweza ishiwa nguvu sana na baada ukaamka!!
Ni hayo tu ila mimi sio Dr.
Huyu ndo mmoja wa madr hapa jf aitwa MziziMkavu !!
Mi nimejaribu saa 2:30
nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na
usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.
Ahahahahahhhh, ungekufa sijui nani angeleta huu ushuhuda hapa, lol!
BRAND sio kweli hata kidogo. Asali na limao pia ni dawa nzuri ya kikohozi (lakini katika hatua ya awali kabisa hasa kwa watoto), ambapo asali ikichanganywa na limao kidogo na ukala inasaidia kupunguza kikohozi. Hata hivyo kikohozi kikiendelea mwone daktari!ndugu wana jf nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa mdogo kwamba ukila asali halafu muda mfu ukaamua kula limao ni lazima utakufa! naombeni maelezo ya kweli kuhusu hili jambo kwani nimeona hata baadhi ya watu wazima kabisa wakiamini hivyo! thanks!
Mi nimejaribu saa 2:30 nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.
Mi nimejaribu saa 2:30 nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.
Hahaha KakaJambazi umenichekesha kwa experiment yako. Kuna watu wengi walishawahi kulala wakaamka wakajikuta wameshakufa hahah... Ingekutokea je?
Ha ha ha. Lol! This has made my day. Let the weekend begin!!Mi nimejaribu saa 2:30 nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.
Mkuu Mshindo si ningekua nimependwa zaidi! Huenda sa ivi nachukiwa ndo mana nipo bado hai. Nina huzuni sana.
kafanye na hii! lamba asali then shushia na tango utaona habari yake!kama utafanikiwa kuamka kesho asubuhi ! ukifanikiwa najiondoa JF mileleMi nimejaribu saa 2:30 nikasubiria kufa mpaka saa 4 usiku, lakini sikufa. Nikapitiwa na usingizi, nimekurupuka saa iv saa 8:20 nipo hai tu.
Uzushi tu.