Matumizi ya bangi kufukuza wachawi

Matumizi ya bangi kufukuza wachawi

Tile

New Member
Joined
Mar 9, 2024
Posts
3
Reaction score
5
Habari
Nina swali kiduchu
Kun ukweli gani juu ya bangi kufukuza wachawi na mapepo ?!😂
Ikiwa kuna iukweli kiasi je mtu akikimbwa na pepo bange itamfukuza ?!
 
Hizo ni hadithi za kufikirika kwa sababu uchawi na mapepo hayapo.
 
Back
Top Bottom