T Tile New Member Joined Mar 9, 2024 Posts 3 Reaction score 5 Apr 16, 2024 #1 Habari Nina swali kiduchu Kun ukweli gani juu ya bangi kufukuza wachawi na mapepo ?!π Ikiwa kuna iukweli kiasi je mtu akikimbwa na pepo bange itamfukuza ?!
Habari Nina swali kiduchu Kun ukweli gani juu ya bangi kufukuza wachawi na mapepo ?!π Ikiwa kuna iukweli kiasi je mtu akikimbwa na pepo bange itamfukuza ?!
Northpole JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 590 Reaction score 853 Apr 16, 2024 #2 Hizo ni hadithi za kufikirika kwa sababu uchawi na mapepo hayapo.