Matumizi ya Biblia na Quran katika kuapisha viongozi

Matumizi ya Biblia na Quran katika kuapisha viongozi

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
Nimekuwa najiuliza, kama nchi yetu kwa miaka yote inajinasibu kuwa haina dini, ni kwa vipi viongozi wetu hasa mawaziri na hata mahakamani wahusika wanaapa wameshika Biblia(wakristo) na Quran(waislam). kwa nini wasitumie katiba ambayo ndiyo wanyoenda kuitetea, kuilinda na kuitekeleza? na tuwaachie viongozi wa dini waape kutumia vitabu vyao. sijui wadau hili limakaaje?

Jambo hili llilikuwa kati ya maoni yangu kwa katiba mpya, lakini nimejaribu kuandika maoni yangu kwenye website ya katiba, inaniambia niweke 'valid telephone number na nimefanya hivyo imekataa.
 
Back
Top Bottom