Ameanza kutumia lini? Wewe muhusika ndiye uliyempa?Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho chake.??Naombeni msaada
Amekataa kuendelea kukulipa posho kwa kutumia cheti chako?Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho chake.??Naombeni msaada
Kama haukuchukua RB vilipopotea,kachukue polisi.Muonye asitumie.Akigoma kamkamate na Askari umpeleke mahakamani.Its a long story , ila naomb sheria za kufuata brother
Sawa kwa hiyo mwajiri wake anauwezo wa kumsitishia kazKama haukuchukua RB vilipopotea,kachukue polisi.Muonye asitumie.Akigoma kamkamate na Askari umpeleke mahakamani.
Kama analeta ujuaji mueleze mwajiri wake.Hiyo mijizi ya vyeti siipendi kabisa.Mwizi wangu alinitesa sana.Wako umemfahamu,usimchekee!
Mwajiri wake ni sehemu ya kuijua nidhamu,weledi na utii wa mwajiriwa.Kama una ushahidi wa awali(usitoe wote kwa pamoja)muoneshe/mpe mwajiri wake.Asipochukua hatua(hata kufuatilia tu) itashangaza.Sawa kwa hiyo mwajiri wake anauwezo wa kumsitishia kaz
πππππNikisha ku-pm namba yangu utakuwa umenilazimisha "bila shuruti" niache kutumia fake id humu JF.Chukua ushauri niliokupa na wa wengine,uuchanganye.Ukiona una mashiko uutumie mkuu.Pole kwa vyeti vyako/chako kuibwa.Inaumiza sana kwa kupoteza muda na fedha.Naomb unipm naomb yako
πππππNikisha ku-pm namba yangu utakuwa umenilazimisha "bila shuruti" niache kutumia fake id humu JF.Chukua ushauri niliokupa na wa wengine,uuchanganye.Ukiona una mashiko uutumie mkuu.Pole kwa vyeti vyako/chako kuibwa.Inaumiza sana kwa kupoteza muda na fedha.
πππππNikisha ku-pm namba yangu utakuwa umenilazimisha "bila shuruti" niache kutumia fake id humu JF.Chukua ushauri niliokupa na wa wengine,uuchanganye.Ukiona una mashiko uutumie mkuu.Pole kwa vyeti vyako/chako kuibwa.Inaumiza sana kwa kupoteza muda na fedha.
Nimekuongezea maelezo kidogo muheshimiwa.Yanaweza yakakufaa.Sawa ila lengo n zuri tu