Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Umejuaje kama huna latest version?
Hivi hizi Chromebook utendaji wake wakazi ukoje katika upande wa Video call/meeting/Livestream kwenye platform kama skype,Zoom, Omegle n.kChromebook ni computer zinazotumia ChromeOS ya Google hii ni operating system ambayo kwa kiasi kikubwa ni kama vile unatumia Chrome browser unaweza pia kuinstall baadhi ya Apps na kuna ambazo zinasupport Play Store na Apps za Android. Hizussuport program kamili za Windows.
Uzuri wake ni cheap, nyepesi na zinakaa muda mrefu sana na charge kwa vile hazina nguvu.
Ubaya wake ndo hivyo limited app support, kama hauko connected mtandaoni ni almost useless.
Chromebook za kisasa zina Android app support.Hivi hizi Chromebook utendaji wake wakazi ukoje katika upande wa Video call/meeting/Livestream kwenye platform kama skype,Zoom, Omegle n.k
Inategemea na App ya hiyo kitu inasupport vipi Chromebook na processor ya hiyo Chromebook kuna ambazo ni weak sana zinaweza zikazidiwa na mambo ya video.Hivi hizi Chromebook utendaji wake wakazi ukoje katika upande wa Video call/meeting/Livestream kwenye platform kama skype,Zoom, Omegle n.k
Chromebook za kisasa zina Android app support
Inategemea na App ya hiyo kitu inasupport vipi Chromebook na processor ya hiyo Chromebook kuna ambazo ni weak sana zinaweza zikazidiwa na mambo ya video.