Matumizi ya debit/credit card

SalimMhina

Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
36
Reaction score
1
Kutokana maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani,matumizi ya kadi za malipo mfano WESTERN UNION,VISA,TEMBO CARD etc matumiz yake yameongezeka hasa kulingana na kupanuka kwa soko la kimataifa.
Kwa Watanzania walio wengi hili ni suala geni hasa ukizingatia hata matumiz ya benki tuko bado nyuma.Fanya bishara chipkizi matumiz haya ya kadi yanawawia vigumu ktk kufanya muamala mana suala hili limeingiliwa na matapeli wakimtandao.
Suala la kuaminiana hasa ktk bishara za kimtandao (BUY AND SELL ONLINE) huwa ni TUMA PESA KWANZA NDIO UTUMIWE BIDHAA.Kibongo bongo hili kunawalakini tena hasa ikiwa Muuzaji yuko nje ya nchi pengine Ulaya,Asia,America nk.
KWA KULIONA HILI NIMEGUNDUA KUWA...
>>>Wako watu bishara yakutumia malipo ya namna hii wanafaidika nayo.
>>>Wako wanaolizwa na matapeli.
>>>Wako wanaotaka kufanya biashara na watu wa nje au kampuni ila wanahofu juu ya usalama wa akaunti zao na utapeli wakimtandao.
Mifano ya biashara ni kuwa baada ya kukamilisha malipo UTATUMIWA MZIGO/BIDHAA yako ndan ya muda fulani.
Kwa mfano mtu kununua bidhaa kupitia EBAY au ALIBABA kama simu,magari,nguo au kununua APPS ktk GOOGLE PLAY,ADOBE NK.
KWA MIMI KULIONA HILI KUWA TATIZO NA HATA KUWAFANYA WAFANYA BIASHARA WALIO WENGU KUOGOPA BIASHARA ZA NAMNA HIYO AU KUTAPELIWA KUTOKA NA UFAHAMU MDOGO.MIMI NINGEOMBA WAFANYA BIASHARA NA WANAUCHUMI WENYE UTAALAMU NA UJUZI JUU YA BISHARA ZA NAMNA HII KWAMBA VP TUNAWEZA KUNUFAIKA NA VP 2NAWEZA KULIZWA.TAFADHALI WENYE ELIMU JUU YA HAYA WATUFAHAMISHE IKIWA NI PAMOJA NA KUTAJA KAMPUNI ZENYE KUAMINIKA JUU YA BIASHARA HIZI.Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…