Matumizi ya Dola kwa katika biashara za ndani ni sawa?

lopinavir

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
188
Reaction score
121
Habari zenu wanajamvi?

Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)?

Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?

Screenshot_20240725_073629_Chrome.jpg
 
Habari zenu wanajamvi?

Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)?

Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?

View attachment 3051336
Hizo kwa dola ni kwa ajili ya watalii lakini ukitaka bei kwa TZS kuna kitufe unabonyeza kisha unachagua sarafu unayoitaka
 
Bofya kwenye USD hapo kuna tsh
 
We jamaa hizo ni ndege mwamba acha kuzingua.

Kuna machaguo hapo Tsh au dolali
 
Hizo kwa dola ni kwa ajili ya watalii lakini ukitaka bei kwa TZS kuna kitufe unabonyeza kisha unachagua sarafu unayoitaka
Kuweka bei kwa dola ndani ya Tanzania ni kama vile serikali inakubali kuwa shilingi ya Tanzania kwanza haijulikani, pili haiaminiki.

Ni kama vile wanaogopa wakiweka bei kwa shilingi, shilingi inaweza kushuka thamani kwa kiasi kikubwa sana kabla hawajabadilisha bei (currency instability) kwa kiasi ambacho utatuzi ni kuweka bei kwa dola tu.

Katika kanuni za uchumi, nchi kutumia dola badala ya pesa yake kunachangia kushusha thamani pesa yake.
 
Back
Top Bottom