Hizo kwa dola ni kwa ajili ya watalii lakini ukitaka bei kwa TZS kuna kitufe unabonyeza kisha unachagua sarafu unayoitakaHabari zenu wanajamvi?
Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)?
Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?
View attachment 3051336
Bofya kwenye USD hapo kuna tshHabari zenu wanajamvi?
Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)?
Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?
View attachment 3051336
Kuweka bei kwa dola ndani ya Tanzania ni kama vile serikali inakubali kuwa shilingi ya Tanzania kwanza haijulikani, pili haiaminiki.Hizo kwa dola ni kwa ajili ya watalii lakini ukitaka bei kwa TZS kuna kitufe unabonyeza kisha unachagua sarafu unayoitaka