jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Nov 16, 2024 #1 Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi
Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 Nov 16, 2024 #2 Hata mimi nilishangaa sana
P PUFF DADDY JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 391 Reaction score 803 Nov 16, 2024 #3 badalayake tutumie nini?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Nov 16, 2024 #4 PUFF DADDY said: badalayake tutumie nini? Click to expand... Heavy Winch na Cranes, kutumia Mbwa waliofunzwa pia kunasaidia
PUFF DADDY said: badalayake tutumie nini? Click to expand... Heavy Winch na Cranes, kutumia Mbwa waliofunzwa pia kunasaidia
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 16, 2024 #5 jingalao said: Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi Click to expand... Vipi kuhusu excavator au crane!?
jingalao said: Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi Click to expand... Vipi kuhusu excavator au crane!?