monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
2.5" kwenye desktop ukiifunga mazima haina kwikwi?Si kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.
Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,
Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
Desktop za kisasa zina Bay za 2.5, desktop za zamani unatafuta tu caddy za 3.5 kwenda 2.5, nyengine bila hata Caddy zile screw tu zinabana hdd inakaa inatulia.2.5" kwenye desktop ukiifunga mazima haina kwikwi?
Mi nilidhani 2.5 zinaungua na kufa mapema kwenye desktopDesktop za kisasa zina Bay za 2.5, desktop za zamani unatafuta tu caddy za 3.5 kwenda 2.5, nyengine bila hata Caddy zile screw tu zinabana hdd inakaa inatulia.
Connector ni zile zile ya desktop ama laptop sata zinafanana.
Shukrani mkuuSi kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.
Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,
Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
Si kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.
Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,
Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
Mkuu nafanya kazi kwenye kampuni ambayo staff tunatumia wigi bure je ni website au app gani naweza download single movies na series movies zenye 720p au 1080pSi kweli hdd haiui cpu, na cpu ni kitu kimoja kigumu sana kufa, itakufa motherboard na hio hdd ila Cpu itabaki.
Na unaweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop,
Kama unatumia kama external inunulie kasha ama waya wa usb to sata.
Kama korean tumia FDrama.Net | Watch drama online and download free in HD quality with English Subtitles.Mkuu nafanya kazi kwenye kampuni ambayo staff tunatumia wigi bure je ni website au app gani naweza download single movies na series movies zenye 720p au 1080p
Hapana mkuu, mimi desktop langu halina 3.5 hata moja, mpaka ssd yangu ni ya laptop. Na zina miaka nyengine inafika karibia miaka 7 sasa.Mi nilidhani 2.5 zinaungua na kufa mapema kwenye desktop
App hii kubrowseMkuu nafanya kazi kwenye kampuni ambayo staff tunatumia wigi bure je ni website au app gani naweza download single movies na series movies zenye 720p au 1080p