chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 212
Habari wanajamvi?
ninaomba kujuzwa juu ya matumizi ya hii dawa ya kuongeza damu mwilini aina ya hemovit kwa mwanamke mwenye ujauzito wa miezi nane yaani week 32,
Je akiitumia haitamletea matatizo?vilevile kuna vidonge alipewa vinaitwa feso 1×3,sasa kabla hajavitumia akapewa ushauri na mtu mwingine kuwa hiyo hemovit ni nzuri sana.
Waataalam naombeni msaada wenu!
Hizo dawa hazina madhara atumie.

Rozela haipatikani?kutokana na ukame wa mwaka janaZote ni safe na ni.muhimu ukazingatia ili damu iongezeke,pia jaribu kunywa rosela kwa wingi inaongeza damu haraka,mimi ilinisaidia sana,niliandikiwa hemovit ila ilinishinda kutokana na harufu yake,dokta akanishauri nitumie juice ya rosela kwa wingi
Rozela haipatikani?kutokana na ukame wa mwaka jana