Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Vifaranga vya mayai huchukua kati ya week 18-20 kuanza kutaga. Baada ya hapo huendelea kutaga mayai kwa mwaka mmoja.
Baada ya mwaka mmoja kuku hawa huzeeka, utagaji unapungua na kukoma, manyoya ya mwili hupungua na huhitaji chakula.
Soko la kuku hawa likoje, tupeane uzoefu.