Hongera kwa ufugaji...View attachment 971867
Vifaranga vya mayai huchukua kati ya week 18-20 kuanza kutaga. Baada ya hapo huendelea kutaga mayai kwa mwaka mmoja.
Baada ya mwaka mmoja kuku hawa huzeeka, utagaji unapungua na kukoma, manyoya ya mwili hupungua na huhitaji chakula.
Soko la kuku hawa likoje, tupeane uzoefu.
Raia wa dar wanauziwa hawa kuku wastaafu kama kuku wa kienyeji...hatari sana
wale kuku waliozeeka wala hawana mafuta wewe utakuwa umekula kitu kingineDaaahhh, juzi nimeenda sehem kupata supu ya kuku, nililetewa huu upuuzi eti kuku wa kienyeji dudeeee Lina mafutaaa daaahhhh ckuweza kula aseee
Raia wa dar wanauziwa hawa kuku wastaafu kama kuku wa kienyeji...hatari sana
Ukiwa una stress zako ingia tu jfNimecheka sana "eti kuku wastaafu"